Muntu Ya Pori
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 222
- 64
Nimechaguliwa Mechanical engineering, je inawezekana kubadilisha?Nakushauri ukasome telecommunication hapo Coet. Inalipa.
Nimechaguliwa Mechanical engineering, je inawezekana kubadilisha?
Habari zenu waheshimiwa sana. Wadau hii Mechanical Engineering inahusika na nini hasa? na vp ushindani wake katika soko la ajira, je inalipa! Wana CoET Udsm na wadau wengine na hata Watoa ajira kwa faculty hiyo ninatumaini kwamba mtanijuza vyema. MBARIKIWE.

Elimu yangu ni form six, 27 naishi chaka fulani huku Katavi. Najua "fundi mekanics" naona neno hilo kuna Mechanics,so kinachonipa shida ni kwamba naenda kusomea ufundi nami nipate jina kama hilo hapo juu. Elimu na Umri haviwezi kukufanya ujue v2 vingi. Nijuze ndugu yangu, kiroho safi kama una information za kutosha.Duu una elimu gani,umri gani mpaka usijue mechanical engineering inahusika na nini
Kubadilisha inawezekana but nilazima chuo utakachoenda na iyo faculty uwe umequalify na kuwe na available slots, so kutransfer inawezekana bro. Deadline ni tar 16 septemba, tar 3 septemba transfer ndo imeanza so wai bro kacheki kama iyo telecomunication bado inaavailable slots. Tembelea www.tcu.go.tz.
Habari zenu waheshimiwa sana. Wadau hii Mechanical Engineering inahusika na nini hasa? na vp ushindani wake katika soko la ajira, je inalipa! Wana CoET Udsm na wadau wengine na hata Watoa ajira kwa faculty hiyo ninatumaini kwamba mtanijuza vyema. MBARIKIWE.
wakati unapply ulikuwa unaielewa vipi?
inategemea unataka sh ngapi, inaweza ikawa inalipa.
jngowi nahisi umekata kiu ya mleta uziSijaelewa unavyosema '"ina lipa?" kijana kwa taarifa yako course zote duniani zinalipa ila inategemea na jinsi ulivyoichukulia na mwenendo wa ajira katika nchi husika. Mechanical ni moja ya course mama katika engineering sio CoET tu ulimwenguni kote hii ikiwqa ni pamoja na Civil, na Electrical Engineering, cha msingi hizi course hazihitaji lelemama katika kujifunza kwani zina beba mambo mengi sana unayohitaji kuelewa na yanategemeana ukiwa mwaka wa nne lazima uta apply mambo ya mwaka wa kwanza, pili na watatu. Katika soko la ajira bado wanafunzi wanaomaliza wanauwezo wakufanya kazi maaeneo mengi sana, Manufacturing Industries, Civil works, Building Industry (design and implematation of refrigeration systems, fire fighting facilities, designing and installing lifting mechanism etc), Mining industries kuna kazi nyingi sana ikiwa niku monitor and maintaining mining machines na hii sector kwetu bado changa, Oil and gas (wanahitajika katika turbines zinazozalisha umeme kuzi monitor and providing preventive maintenance na kwa sasa ndio tunaelekea huko).
Nafikiri maelezo hayo madogo yanaweza kukusadia ila unaweza uliza zaidi
Sijaelewa unavyosema '"ina lipa?" kijana kwa taarifa yako course zote duniani zinalipa ila inategemea na jinsi ulivyoichukulia na mwenendo wa ajira katika nchi husika. Mechanical ni moja ya course mama katika engineering sio CoET tu ulimwenguni kote hii ikiwqa ni pamoja na Civil, na Electrical Engineering, cha msingi hizi course hazihitaji lelemama katika kujifunza kwani zina beba mambo mengi sana unayohitaji kuelewa na yanategemeana ukiwa mwaka wa nne lazima uta apply mambo ya mwaka wa kwanza, pili na watatu. Katika soko la ajira bado wanafunzi wanaomaliza wanauwezo wakufanya kazi maaeneo mengi sana, Manufacturing Industries, Civil works, Building Industry (design and implematation of refrigeration systems, fire fighting facilities, designing and installing lifting mechanism etc), Mining industries kuna kazi nyingi sana ikiwa niku monitor and maintaining mining machines na hii sector kwetu bado changa, Oil and gas (wanahitajika katika turbines zinazozalisha umeme kuzi monitor and providing preventive maintenance na kwa sasa ndio tunaelekea huko).

hahahaha! Acha utani broh! Hebu nipeki2 ambacho kinaweza nipa mwanga kidogo. Napozungumzia kulipa namaanisha ajira yake japo tsh pia ipo nyuma ya ajira.