Wana JF hii nayo imekaaje?

Wana JF hii nayo imekaaje?

byembalilwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2012
Posts
2,059
Reaction score
946
Kuna jamaa yangu amekuja kuniomba ushauri kuwa afanyeje maana kampigia dem wake cm ili watoke out thn huyo dem kumjibu mshikaj kuwa nitakuwa busy so itakuwa ngumu kutoka .Ndipo mshikaji kaamua kwenda kumtembelea rafik yake ,cha ajabu kamkuta huyo dem akiwa anampikia mshikaj.je hii imekaaje?
 
Sasa kupika sio "busy"?
 
Imekaa hivyo hivyo kama alivyoikuta hiyo hali, yaani huyo demu anahudumia na kwingine pia kama anavyohudumia na kwa huyo jamaa yako!
Angalizo: Usije kutuuliza tena achukue hatua gani, maana tayari ameshashuhudia mwenyewe kwa macho yake! :wacko:
 
malaya huyo! Mpigie wimbo wa Lila wa marijani shabani wa mwaka 1976!
 
Ni kweli yupo busy si unaona anampikia mshikaji, watu tunamatatizo yetu tunakufanayo taratibu
 
Kuna jamaa yangu amekuja kuniomba ushauri kuwa afanyeje maana kampigia dem wake cm ili watoke out thn huyo dem kumjibu mshikaj kuwa nitakuwa busy so itakuwa ngumu kutoka .Ndipo mshikaji kaamua kwenda kumtembelea rafik yake ,cha ajabu kamkuta huyo dem akiwa anampikia mshikaj.je hii imekaaje?
kwani we busy unaielewaje?
 
Mpaka mfungue vyuo mbona kazi ipo..
Sasa hii nayo ya kuuliza imekaaje??..of course naona imekaa poa..manake binti kaokota pochi la mlevi!!
 
A Blind Man once asked a Wise man:
"Can there be anything worse
than losing your Eye Sight?"
The Wise Man replied:
"Yes..
Losing your 'VISION'
 
Back
Top Bottom