Wana Jf hodii!

Wana Jf hodii!

Co jukwaa lake hili! Nenda jukwaa la utambulishoo
 
hapa hatuhitaji hizo mbwembwe! Post yako ya kwanza inayohusu elimu ndo utambulisho wako!
 
Karibu kaka...ila hapa hatutaki mambo ya kujisifia chuo chako sawa??
 
Karibu sana ila toka kwa nje ukate kulia utakuta jukwaa la utambulisho ndio urudi hapa.
 
Back
Top Bottom