Alexism JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 3,423 Reaction score 2,046 Nov 16, 2011 #1 Wana Jf wenzengu leo nawaachia mji wenu nakwenda kula senene,sato,ekiise, emitoke na orubisi.OSAKA RAHA MOJA HIYO ambao mkotayari karibu twende.MPAO.
Wana Jf wenzengu leo nawaachia mji wenu nakwenda kula senene,sato,ekiise, emitoke na orubisi.OSAKA RAHA MOJA HIYO ambao mkotayari karibu twende.MPAO.
BBJ JF-Expert Member Joined Sep 2, 2011 Posts 1,184 Reaction score 164 Nov 16, 2011 #2 Ufike salama,nini maana ya KUSHWERA na RUWENDE,hua nawasikia watu wa huko wakiyatamka sana hayo maneno
Ufike salama,nini maana ya KUSHWERA na RUWENDE,hua nawasikia watu wa huko wakiyatamka sana hayo maneno
arabianfalcon JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 2,285 Reaction score 584 Nov 16, 2011 #3 Safari njema..
bombu JF-Expert Member Joined Jun 8, 2011 Posts 1,127 Reaction score 542 Nov 16, 2011 #4 hehehee, kushwera kikwetu ni kuowa, mie nlijua waenda kuowa nkajiandaa kukusindikiza, lol Mpao
Alexism JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 3,423 Reaction score 2,046 Nov 16, 2011 Thread starter #5 arabianfalcon said: Safari njema.. Click to expand... thanks mkuu
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Nov 16, 2011 #6 kila la kheri.
feis buku JF-Expert Member Joined Aug 29, 2011 Posts 2,341 Reaction score 677 Nov 16, 2011 #7 ubakeise bonokwo!
Alexism JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 3,423 Reaction score 2,046 Nov 16, 2011 Thread starter #8 feis buku said: ubakeise bonokwo! Click to expand... Wakola waitu mugurusi
Alexism JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 3,423 Reaction score 2,046 Nov 16, 2011 Thread starter #9 Mamndenyi said: kila la kheri. Click to expand... dah na wewe hupo,poa saana nitakuletea rubisi
Alexism JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 3,423 Reaction score 2,046 Nov 16, 2011 Thread starter #10 BISKUT YA CHUMA said: Ufike salama,nini maana ya KUSHWERA na RUWENDE,hua nawasikia watu wa huko wakiyatamka sana hayo maneno Click to expand... Watamira enjara okwo
BISKUT YA CHUMA said: Ufike salama,nini maana ya KUSHWERA na RUWENDE,hua nawasikia watu wa huko wakiyatamka sana hayo maneno Click to expand... Watamira enjara okwo
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,717 Reaction score 13,176 Nov 17, 2011 #11 safari njema na WASAMILIE wote.Nalog off
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,717 Reaction score 13,176 Nov 17, 2011 #12 bombu said: hehehee, kushwera kikwetu ni kuowa, mie nlijua waenda kuowa nkajiandaa kukusindikiza, lol Mpao Click to expand... Kikwet ni kuchelewa.Nalog off
bombu said: hehehee, kushwera kikwetu ni kuowa, mie nlijua waenda kuowa nkajiandaa kukusindikiza, lol Mpao Click to expand... Kikwet ni kuchelewa.Nalog off
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Nov 17, 2011 #13 Wasalimie infwakti.
Alexism JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 3,423 Reaction score 2,046 Nov 17, 2011 Thread starter #14 Nimefika salama wakuu thank you infact mwakola munno.
NYENJENKURU JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 1,066 Reaction score 294 Nov 17, 2011 #15 Alexism said: Nimefika salama wakuu thank you infact mwakola munno. Click to expand... Onyere waitu.Bakuwe akaglasi kamo waitu..
Alexism said: Nimefika salama wakuu thank you infact mwakola munno. Click to expand... Onyere waitu.Bakuwe akaglasi kamo waitu..
M Mangolo Member Joined Oct 30, 2011 Posts 28 Reaction score 11 Nov 17, 2011 #16 kaka naomba ufike hapo maruku uwape sallamu wakwe zangu nakutakia kila la heri
D Daichii Member Joined Jul 11, 2013 Posts 91 Reaction score 24 Dec 8, 2020 #17 Nini maana ya wakola waitu?
Mokobe JF-Expert Member Joined Sep 25, 2020 Posts 1,249 Reaction score 1,546 Dec 8, 2020 #18 safiri salama mkuu na kama ikikupendeza basi uoe maana tupo uchumi wa kati bana