Wana Jf karibu twende

Wana Jf karibu twende

Alexism

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
3,423
Reaction score
2,046
Wana Jf wenzengu leo nawaachia mji wenu nakwenda kula senene,sato,ekiise, emitoke na orubisi.OSAKA RAHA MOJA HIYO ambao mkotayari karibu twende.MPAO.
 
Ufike salama,nini maana ya KUSHWERA na RUWENDE,hua nawasikia watu wa huko wakiyatamka sana hayo maneno
 
hehehee, kushwera kikwetu ni kuowa, mie nlijua waenda kuowa nkajiandaa kukusindikiza, lol
Mpao
 
Nimefika salama wakuu thank you infact mwakola munno.
 
kaka naomba ufike hapo maruku uwape sallamu wakwe zangu nakutakia kila la heri
 
safiri salama mkuu na kama ikikupendeza basi uoe maana tupo uchumi wa kati bana
 
Back
Top Bottom