Peacesmart
Senior Member
- Apr 19, 2017
- 113
- 101
Ngoja waje wataalamu wa masuala ya siasa wamshauri me napita tu![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Naomba Maoni yenye busara ndugu wa JF kuhusu huyu mwanaharakati mwenye Ushawishi mkubwa mtandaoni Mange Kimambi...unafikiri ana anaisaidia jamii ya kibongo kwa mtindi anaotumia kuwakilisha mitazamo ya wengi mtandaoni? Maana yeye ana haki ya kutoa Maoni lakini pia wengi wamekua wakimtumia yeye kama loud speaker as hawapendi kujulikana I D zao...kuna lolote ungependa kumshauri karibuni wadau!.
Let's go!!!..shoot out that Maoni naomba msitukane tafadhali.
Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
Ni balozi na mfano mkuu wa ule utafiti wa 1/4 uliofanywa hapa nyumbani Bongo. Wingi wa wafuasi wake unathibitisha hilo.Naomba Maoni yenye busara ndugu wa JF kuhusu huyu mwanaharakati mwenye Ushawishi mkubwa mtandaoni Mange Kimambi...unafikiri ana anaisaidia jamii ya kibongo kwa mtindi anaotumia kuwakilisha mitazamo ya wengi mtandaoni? Maana yeye ana haki ya kutoa Maoni lakini pia wengi wamekua wakimtumia yeye kama loud speaker as hawapendi kujulikana I D zao...kuna lolote ungependa kumshauri karibuni wadau!.
Let's go!!!..shoot out that Maoni naomba msitukane tafadhali.
Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app