Wana JF, Mange Kimambi ni mtu wa aina gani?

Peacesmart

Senior Member
Joined
Apr 19, 2017
Posts
113
Reaction score
101
Naomba Maoni yenye busara ndugu wa JF kuhusu huyu mwanaharakati mwenye Ushawishi mkubwa mtandaoni Mange Kimambi...unafikiri ana anaisaidia jamii ya kibongo kwa mtindi anaotumia kuwakilisha mitazamo ya wengi mtandaoni? Maana yeye ana haki ya kutoa Maoni lakini pia wengi wamekua wakimtumia yeye kama loud speaker as hawapendi kujulikana I D zao...kuna lolote ungependa kumshauri karibuni wadau!.
Let's go!!!..shoot out that Maoni naomba msitukane tafadhali.

Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
 
Ngoja waje wataalamu wa masuala ya siasa wamshauri me napita tu![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
I think u can learn from her but pia ukapotoka from her ....i think anakipaji chakushawishi na chakutukana ....she is somewhat educated a mother with cute lips.. mange pia ni muoga sana kama bashite na jpm bcoz if u challenge her unakula block bashite ukimchallenge anakuja na mitutu jpm ukimchallenge unapotea zote ni alama za uoga kwa sasa naishia hapo......

Sent from my SM-G928P using JamiiForums mobile app
 
Mtumbua majipu ya serikali ya chama kileeeeee

Sent from my GT-N7000 using JamiiForums mobile app
 
Naomba Maoni yenye busara ndugu wa JF kuhusu huyu mwanaharakati mwenye Ushawishi mkubwa mtandaoni Mange Kimambi...unafikiri ana anaisaidia jamii ya kibongo kwa mtindi anaotumia kuwakilisha mitazamo ya wengi mtandaoni? Maana yeye ana haki ya kutoa Maoni lakini pia wengi wamekua wakimtumia yeye kama loud speaker as hawapendi kujulikana I D zao...kuna lolote ungependa kumshauri karibuni wadau!.
Let's go!!!..shoot out that Maoni naomba msitukane tafadhali.

Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
Ni balozi na mfano mkuu wa ule utafiti wa 1/4 uliofanywa hapa nyumbani Bongo. Wingi wa wafuasi wake unathibitisha hilo.

Sent from my VFD 300 using JamiiForums mobile app
 
Magamba wanapita tu hapa.

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Naona Jf wameamua kutuzuia tusimjadili mange. ukiandika post kuhusu mange Inafutwa haraka sana. Nahisi kuna kamchezo kanaendelea. Haya futeni na hii
 
Back
Top Bottom