Wana JF mashati haya naweza kupata duka lipi kwa Dar es Salaam?

Wana JF mashati haya naweza kupata duka lipi kwa Dar es Salaam?

Emanueli misalaba

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
1,769
Reaction score
2,523
Bila shaka hamjambo wana Jf, nisiwachoshe nahitaji mashati kama haya niliyoambatanisha na hii thread kwa hapa Dar.

received_901496817573361.jpeg
mashatii.jpeg


Natanguliza shukurani zangu.
 
haya mashati ni kama yale ya kwenye hadithi ya mfalme alivaa mavazi wenye akili wanaona yuko uchi ila chawa wake waliyakubali sana

haya mashati yanapatikana kwa wingi katavi
 
Back
Top Bottom