Wana JF mashati haya naweza kupata duka lipi kwa Dar es Salaam?

haya mashati ni kama yale ya kwenye hadithi ya mfalme alivaa mavazi wenye akili wanaona yuko uchi ila chawa wake waliyakubali sana

haya mashati yanapatikana kwa wingi katavi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…