Wana JF mashati haya naweza kupata duka lipi kwa Dar es Salaam?

haya mashati ni kama yale ya kwenye hadithi ya mfalme alivaa mavazi wenye akili wanaona yuko uchi ila chawa wake waliyakubali sana

haya mashati yanapatikana kwa wingi katavi
Ahaaaaaa
 

Attachments

  • images (5).jpeg
    30 KB · Views: 12
Ukikutana na fala jifanye fala maisha yaendelee
Kiongozi sorry kwa usumbufu picha ilikuwa inagoma ku apload kutoka kwenye file la kawaida imebidi nizitume messenger, huko zimekubali ku attach.
Mashati aina hiziπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Attachments

  • received_890901058837996.jpeg
    42.6 KB · Views: 15
Mcheki huyu mwamba
 

Attachments

  • Screenshot_20230427-121545.png
    22.9 KB · Views: 12
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…