Wana JF mimi ni mchawi

Hivi uchawi haufanyi kazi mchana, mpaka usiku.
Kuna jamayangu aliibiwa embe dodo, kila aliechukua embe lake, hakuna anaemjibu, akasema haya, ila ikifika usiku, nitamjua aliechukua embe langu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…