Habari zenu wadau.
Naombeni msaada wenu wa haraka ili niweze kupata novel hii ambayo ni muhimu sana katika dissertation yangu. Hapa Dar nimeikosa, nimecheki na Nairobi haijafika.
Tittle: BROKEN GLASS.
Author: Alain Mabanckou:
Genre: Novel.
Written: 2006(english 2009)
Length: 165 pgs.
Original: French.
Price: $13.
Atakayeguswa kunisaidia naomba tuwasiliane kwa +255654945668 ili niweze kumtumia hiyo pesa na mengineyo. Nina imani na jf.
google hiyo title na author. Kinapatikana amazon
simple!! dunia ya siku hizi sio ya kuomba such things kwa watu...kwenye internet utapata mradi una kadi yako ya benki ya bongo basi utaletewa mpaka bongo
hujakosea mkuu....natamani sana kuja majuu....nipe mchongo arifu.....hapa nategemea green card tu sasa hivi.....nitumie raba mtoni aridu
Nimekipata Amazon. com. Nimeshakiagiza. Simu yangi ni 240 447 2801
Mwanangu anayo novel hiyo, na alishamaliza kuisoma. Nikutumia kwa address ipi?
Mdau,
Hii namba ya nchi gani, mana nimejaribu nashimdwa. Naomba code basi. Alafu nifafanulie nitaipataje! Utakua umenisaidia sana.
simple!! dunia ya siku hizi sio ya kuomba such things kwa watu...kwenye internet utapata mradi una kadi yako ya benki ya bongo basi utaletewa mpaka bongo
Ni Marekani wa kwetu. Nadhani unaanza na 01.