Wana JF mliopo US,UK na Canada naombeni msaada wenu wa haraka!!!

Nashukuru sana mkuu, unaweza tuma kwa anuani hii

Mrs. Prisca Rafael
Po Box 68185
DSM
TZ.

Ukituma kwa EMS itakua bora zaidi.

Nitakituma Jumatatu au jumanne; weekend hii nimmeshaondoka nyumbani
 
Nikiona watu wanataka kuwagawa Watanzania kwa imani, kabila au kiwacho inanikera sana.
Fikiri huyu mdau ametoa ombi tu watu wanamshukia kumsaidia bila kuuliza jina, kabila au dini, what else can you ask?
Niwashukuru nyote mliojitolea na huo si msaada tu bali ndio Utanzania tuujuao. Tuseme NO kwa wajinga wachache wanaotaka kutugawa!
 
I do respect some champs JF...hakuna kitu ninachopenda kama kupeana maarifa,suala la kusoma vitabu limekuwa ugonjwa mkubwa Tanzania ndio maana uwezo wetu wa kufiriri unapungua kila siku mie huwa naangalia ukienda sehemu kupumzika unakuta wenzetu wanapata moja baridi moja moto uku akiwa na kitabu anasoma sie tunakunywa pombe uku tukivuta sigara na kushika shika makalio wakina dada......watoto wanajua kila kitu kwenye tv kuanzia asubuhi mpaka jioni kashinda kwenye tv.....big up kwa Kichuguu na Jasusi
 
Nikiona watu wanataka kuwagawa Watanzania kwa imani, kabila au kiwacho inanikera sana.
Fikiri huyu mdau ametoa ombi tu watu wanamshukia kumsaidia bila kuuliza jina, kabila au dini, what else can you ask?
Niwashukuru nyote mliojitolea na huo si msaada tu bali ndio Utanzania tuujuao. Tuseme NO kwa wajinga wachache wanaotaka kutugawa!

Umenikuna sana mkuu! uwezi amini, jamiiforum ni kila kitu. nimeangaika sana na hii novel, lakini naamini nitaipata kwa haraka. Watanzania tuendelee kusaidiana bila kujali rangi, dini wala makabila yetu!
 
Back
Top Bottom