Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Nashukuru sana mkuu, unaweza tuma kwa anuani hii
Mrs. Prisca Rafael
Po Box 68185
DSM
TZ.
Ukituma kwa EMS itakua bora zaidi.
Nitakituma Jumatatu au jumanne; weekend hii nimmeshaondoka nyumbani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru sana mkuu, unaweza tuma kwa anuani hii
Mrs. Prisca Rafael
Po Box 68185
DSM
TZ.
Ukituma kwa EMS itakua bora zaidi.
I do respect some champs JF...hakuna kitu ninachopenda kama kupeana maarifa,suala la kusoma vitabu limekuwa ugonjwa mkubwa Tanzania ndio maana uwezo wetu wa kufiriri unapungua kila siku mie huwa naangalia ukienda sehemu kupumzika unakuta wenzetu wanapata moja baridi moja moto uku akiwa na kitabu anasoma sie tunakunywa pombe uku tukivuta sigara na kushika shika makalio wakina dada......watoto wanajua kila kitu kwenye tv kuanzia asubuhi mpaka jioni kashinda kwenye tv.....big up kwa Kichuguu na JasusiNikiona watu wanataka kuwagawa Watanzania kwa imani, kabila au kiwacho inanikera sana.
Fikiri huyu mdau ametoa ombi tu watu wanamshukia kumsaidia bila kuuliza jina, kabila au dini, what else can you ask?
Niwashukuru nyote mliojitolea na huo si msaada tu bali ndio Utanzania tuujuao. Tuseme NO kwa wajinga wachache wanaotaka kutugawa!
Nikiona watu wanataka kuwagawa Watanzania kwa imani, kabila au kiwacho inanikera sana.
Fikiri huyu mdau ametoa ombi tu watu wanamshukia kumsaidia bila kuuliza jina, kabila au dini, what else can you ask?
Niwashukuru nyote mliojitolea na huo si msaada tu bali ndio Utanzania tuujuao. Tuseme NO kwa wajinga wachache wanaotaka kutugawa!
Nitakituma Jumatatu au jumanne; weekend hii nimmeshaondoka nyumbani
Mwanangu anayo novel hiyo, na alishamaliza kuisoma. Nikutumia kwa address ipi?