katebhalila
Member
- Jun 26, 2013
- 25
- 3
Napenda kuja kuchambua siasa za ukweli na kupata maoni yenu yaliyo na dhati ya moyo.
Muda mwingi nimesoma makala mbali mbali, nikagundua kuna ushabiki wa kisiasa Tanzania.
Je kwa nini tusijadili maslahi ya wananchi wa kawaida na maslahi ya kitaifa badala ya yale ya mtu na vikundi tunavyovishabikia.
Tupeane elimu ya ukweli.