Mi nawajua akina dada, akishafika pale hata kama alikuwa amejiambia hatamegwa, akipewa maneno matamu na akiwekwa kona lazima atalowa na ataachia mchezo. Mimi imewahi nitokea, kuwa nilihisi mdada fulani alikuwa ananipenda, nilivyopata nafasi ya kuwa nae yeye alikuwa nasisitiza kuwa nataka long term friendship and then marriage (Mimi tayari ninacho hicho anachotafuta)
Kimsingi mimi hayo yote nilikuwa siyahitaji, sikumpa jibu la moja kwa moja, lakini believe me, alinipa mchezo the first day.
Kila siku huwa nasema, women are too emotional, they always think men do think like them. Forget, kuwa makini, jamaa atamega halafu atasepa.
Take your time, kwani kama anakupenda kiukweli atakuwa yupo radhi kusubiri na kukuchunguza, hatakurupuka, kwani anauhakika gani kama we si wale wale?
Na sisi wanaume tukipata mchezo the first day tunakuwa na mashaka na mhusika. Again muonye huyo dada awe makini.
Huwa sipendi kuwafuatilia madame sana kwani inachosha, lakini opportunity kama hiyo ikijitokeza huwa siachi kufunga goli angalau moja la chapchap, sina muda wa kuendelea kumfurahisha kwani experience inaonyesha almost zote za fanana, so I quickly I go back to my....
Mpe onyo huyo dada awe makini