Stuka hata huo unatumika siku hizi, yaani aende jumamosi halafu jamaa on the same day amuombe biolojia dah atakuwa kweli amekaa kingono zaidi
kama ni hivi huu ushauri mpe na mwenzio aufanyie kazi...
Na ni mgumu kweli kweli kwani ameshasema hana mpango wa kuongeza mwanaume mwingine katika list waliopita wanatosha
Halafu mkiishamegwa mnakuja hapa mnaanzisha thread ohoo wanaume hawafai kanimega kisha kaondoka kumbe wenyewe mnaona poa, anywayz MALARIA HAIKUBALIKI
mie cwaelewi hapa, kama ni hivyo huyu mdada ashauriwe asiende, vingenevyo kama anataka kwenda ategemee lolote huko kwa huyo mkaka.
hao 18 aliowahi kuwa nao before wanatosha jamani, sasa aongeze kwanini??????
Me wa hivyo kwa kweli hata kama atanimega na kusepa poa tu kwani hata yeye atakuwa amehangaikia sana kwani akimega ataondoka nayo?
hakunaga cha kuduliwa mwanaume akaondoka, kwani alimbaka....wadada hawasomi alama za nyakati kabisa, hawatofautishi mapenzi na matamanio.
nilidhani umesahau
Halafu mkiishamegwa mnakuja hapa mnaanzisha thread ohoo wanaume hawafai kanimega kisha kaondoka kumbe wenyewe mnaona poa, anywayz MALARIA HAIKUBALIKI
Sio hivyo finest sasa mtu eti amekufuatilia muda mrefu ametoa mpaka mahari kwenu, katika hali ya kawaida utamnyima kweli huyo mtu we unaona inawezekana hiyo? unampa na hata akiamua kusepa poa kwani hata kama yeye kamega na mimi mahari yake nimekula
kama ni hivi huu ushauri mpe na mwenzio aufanyie kazi...
Naona huyu hajawaelewa wanaume. Tunayo instinct flani, mtu akijigonga head-on huwa tunahisi hata kama hajasema. Sasa inaweza kutokea mdada kajigonga kihivyo lakini mi sijamfeel kiviiiiile, kinachofuata ni opportunism. Namfungulia mlango akiingia namega hadi hapo atakapogundua kuwa feelings hazikuwa za kiviiiiile, akiamua kuchapa mwendo poa, hatugombani.
1. Kwenye nyeusi hata mimi naweza nikaja na gia hiyo nikamega nikasepa
2. Kwenye nyekundu mahari anapokea na wewe au mzazi wako?
Ni hivi nyamayao dia yaani yule anasema kuna wanaume wanafuatilia wanatoa mpaka mahari sasa ikifikia hatua hiyo utamnyima kweli? Na ukimpa halafu akasepa roho ikuumie nini? hebu nipe uzoefu kuhusu hili mpenzi. Na huyo mdada anachojiuliza ni kwamba yeye alitokea kumzimikia huyo kaka lakini huyo kaka hajawahi kujua na wala hatojua kwamba yule dada alikuwa anamzimia na imepita muda mrefu kidogo mpaka huyo dada alishaanza kusahau ikatokea huyo kaka akamtokea na kumwambia alikuwa anatamani kumsemesha siku nyingi ila alikuwa anaogopa kwa sababu huyo dada yuko serious sana. Sasa ndio anajiuliza kuna mapenzi ya kweli hapo kwani wote walikuwa wanazimikiana.

kusema kweli hata mimi nimewaza kuwa huena ktk hiyo miezi sita huyu kaka ameona kuwa huyu dada anampenda ndo maana hata hajaogopa kumkaribisha nyumbani.manake japo angemuomba watoke out kwa dinner or something lkn yeye kaambiwa aende nyumbani kwa mkaka kwa first meeting.hata hivyo labda inaweza ikawa sivyo tunavyowaza.ingekua mimi nisingeenda huko nyumbani kwake.
Kwanza hiyo kitu hakuna kabisa mtu hawezi kupoteza muda wake na pesa yake kwa ajili ya demu na akitokea wa hivyo kwa kweli mimi nitampa saluti mtu utoe mpaka mahari? kwa kweli mimi mtu kama huyo akimega akasepa hata roho haitoniuma kwanza ni kumi kwa mmoja