Mpiganaji tz
Member
- Jul 22, 2010
- 21
- 0
Nashindwa kuamini kama mch. Myikila yupo nchini kwasasa! Tangia uchaguzi hadi kuapishwa na sasa bunge kuanza mtikila asisikike kwa lolote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naamini uliimanisha Mch. Mtikila, huyu mzee tangu Rostam atange kuwa alimpa mshiko kipindi furani amekuwa mpole sana...Nashindwa kuamini kama mch. Myikila yupo nchini kwasasa! Tangia uchaguzi hadi kuapishwa na sasa bunge kuanza mtikila asisikike kwa lolote?
Nashindwa kuamini kama mch. Myikila yupo nchini kwasasa! Tangia uchaguzi hadi kuapishwa na sasa bunge kuanza mtikila asisikike kwa lolote?
yeye anadili na katiba tu, so nafikiri atakuwa najaribu kuisoma kwa undani ili aweze kuibuka na mapungufu mengine. Hana recodi ya kumshitaki mtu, ila kuishitaki serikali tuuuuuuuu.