Hujajibu swali.Humjui baba weye?
Sema umemmiss wife wa mchina!Ila ukweli usemwe nimmissi my wife na baby mazee, baada ya maandamano ninakuja home![emoji116] [emoji182]
View attachment 607027
Hatujamsahau dogi wetu wa NASA mazee, dogy tibiim[emoji191] [emoji3] [emoji109]hio picha ya fungua server imeniacha hoi,
alafu kuna Uhuru, pombe sio supu
alafu wale jamaa wa kupenda teargas, eti bil polisi maandamano si tamu,,, yani ni lazima warushiwe teargas ndo waskie raha
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wivu kidonda usishiriki ndugu!