Wana jf,mwenzenu nimewawakilisha kwenye maandamano ya nasa leo hii!

Mnaosema Railla akapumsike gojea io moto inakuja uko. Usuri yangu; Kinyata awesa rudisa moyo ake apadili iyo tume tu na date mupya ya uchagusi iwekwe. Hii itaondoa hiyo taab ote
Huyu mdanganyika ameongea lugha gani hapa? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona hatuoni nyuki mkivamia Kwa ikulu kazi kuvaa vichupi vya fungua server

Ety mko kwenye maandamano mnapiga selfie na mbwa bata kweli nyie wakenya

Yakiwashinda msije Tanzania hatupokei machokoraa
 
Hehehehe!! moooo faya, safi sana ila mie nawachekia dirishani, yaani mabomu ya tear gas yanarindima mjini.
 
Wivu kidonda usishiriki ndugu!
Nyinyi mnahujumu uchumi vibaya na hii maandamano yenu. Just look at all these idlers ,unproductive goons and freeloaders.Kenya ina wenyewe na wao ni wale wanafanya kazi kwa bidii na kuweka maslahi ya nchi mbele ya siasa.
 
Eeee! Mungu Wangu help me! To kill all NAsa people!
 
Mapambano yanaendelea mazee..
Ila raila alishatinga kule uingereza kuweka mambo sawa[emoji3] [emoji109] si mnajuaga ss na wao ni wamoja[emoji115] .
Hio kesho atafanya mazungumzo na malkia wetu huko huko uingereza baby[emoji191] [emoji125] [emoji636]


[emoji636] [emoji636] [emoji636]
 
Hongera kwa kutekeleza haki yako ya Kikatiba
Acha na ss tukupe haki zako za kikatiba za kusafishwa mecho, ila ni kitoweo cha bondia babu owino [emoji125] [emoji116]
 
Kwa mtindo huu nairobi inaweza geuka jwangwa, miti yote mnatumia leo 😀😛
Hii tabia huwa inaniudhi sana, kila maandamano lazima watu waharibu miti na maua. Tabia zingine si za binadamu ni za sokwe bana.
 
Reactions: Oii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…