Wana JF na majina yenu

Wana JF na majina yenu

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Habari zenu jamani, Wakubwa zangu Shikamooni, rika langu Mambo, wadogo zangu inakuwaje.

Mi bana naomba kujua na kuuliza tu Humu Jamiiforum hayo majina mnayotumia mlikuwa mnafikilia nini au jina hilo ilikuwaje mpaka ukalitumia humu, kuna wenzangu na mimi waliandika weee wanaambiwa hilo jina lina mhusika😅😂 akajikuta anaandika jina la kujaribu hilooo likakubali😁

Ila nasema tu Jf sahivi unaweza kubadirisha jina lako mwenyewe raha ilioje, nawapenda ndugu zangu ila ujumbe mwingine nitoe mi sio usalama wa taifa naomba msiniogope, wala sio wasiojulikana, ni shida tu ndo zinanifanya hivi!?

Wana Jf mimi nawapenda sana 🌹😍🤩😍
 
tuanze na kwako eeeh...ilikuaje?
Mkuu niliisoma Jf nikaona nitumie jina la Daynamo Hilo jina ni la Mwana mazingaombwe flani huwa ana clip YouTube ukimtafuta unampata ndo nikaona nitumie jina lake maana namkubali sana,
 
Nilikuwa mkalimani wa waganga wa uongo nchini south africa walikuwa wakiitwa (Washawasha ) ndio nikajipa jina hilo
Nalog off
 
Hivi jina langu linaonekanaje kwenye screen zenu?

Hepu pigeni screenshot nione tafadhali ☺️
 
Kuna wakina mjingamimi 😁 na wakina Wangari Maathai Nahisi ili ulitoa kwa mwana history hivi
Hahahaa mm nilimuomba mods anibadilishe jina niitwe "MRS HERMANIUS STEYN" akasema ni noma🤣🤣! Ni yule mkulima alozuia ndege zetu...akasema hali sio nzuri..wakat ule aliwika balaa tz..haha akaniambia chagua jingine..nikamkumbuka huyu Prof nilikua nampenda...nikajiname Jina lake Wangari
 
Back
Top Bottom