Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Ila lile jina lako la asili manengelo lilikutoa kweli, japo sikuingilii ila sikupenda mabadiliko yako.Hahahaa mm nilimuomba mods anibadilishe jina niitwe "MRS HERMANIUS STEYN" akasema ni noma[emoji1787][emoji1787]! Ni yule mkulima alozuia ndege zetu...akasema hali sio nzuri..wakat ule aliwika balaa tz..haha akaniambia chagua jingine..nikamkumbuka huyu Prof nilikua nampenda...nikajiname Jina lake Wangari
Sent using Jamii Forums mobile app