Ila lile jina lako la asili manengelo lilikutoa kweli, japo sikuingilii ila sikupenda mabadiliko yako.Hahahaa mm nilimuomba mods anibadilishe jina niitwe "MRS HERMANIUS STEYN" akasema ni noma[emoji1787][emoji1787]! Ni yule mkulima alozuia ndege zetu...akasema hali sio nzuri..wakat ule aliwika balaa tz..haha akaniambia chagua jingine..nikamkumbuka huyu Prof nilikua nampenda...nikajiname Jina lake Wangari
Ni la ukoo mkuu...nikaona jau!Ila lile jina lako la asili manengelo lilikutoa kweli, japo sikuingilii ila sikupenda mabadiliko yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahivi unaweza ukabadirisha mwenyewe tu jina unalolipendaHahahaa mm nilimuomba mods anibadilishe jina niitwe "MRS HERMANIUS STEYN" akasema ni noma🤣🤣! Ni yule mkulima alozuia ndege zetu...akasema hali sio nzuri..wakat ule aliwika balaa tz..haha akaniambia chagua jingine..nikamkumbuka huyu Prof nilikua nampenda...nikajiname Jina lake Wangari
Labda iwe hivyo lakini lilikua ni icon kwako.Ni la ukoo mkuu...nikaona jau!
😀😀! Kuna chizi mmoja aliniudhi alianzisha uzi oh alikua jambazi..nikaona tutakosana bure!
Had mod uwaambieSahivi unaweza ukabadirisha mwenyewe tu jina unalolipenda
😂 😂 😂Hamtupati mnataka kutukamata kirahisi
Pole Sana lakini hata hivyo hili liko bomba zaidi na tumeshalizoea.[emoji3][emoji3]! Kuna chizi mmoja aliniudhi alianzisha uzi oh alikua jambazi..nikaona tutakosana bure!
Bas imebadilika siku hiz za karibunMh!? Hamna bana
Nasisitiza hamtupati ng'oIla member wa humu bana sasa mimi nimetumwA na Nani, shida tupu yani?
Naam mkuu
SIBADILI JINA WALA AVATAR WALLAHI!Sahivi unaweza ukabadirisha mwenyewe tu jina unalolipenda