Miss Bunyeta
Member
- Feb 22, 2015
- 70
- 14
Ni steamer nadhani. Ni chakula very simple. Unachemsha kuku, ama mbuzi ama ng'ombe. Ikikaribia kuiva, kata vitunguu vingi (cubes zinapendeza zaidi) na weka pamoja na pilipili na ndimu. Acha vichemke hadi maji yapungue kabisa upate rojo flani ya kulia ugali.
Katika upishi huu ujanja ni balancing ya maji, uweke mengi na usiongeze njiani. Ikibidi kuongeza tia maji ya moto. Wingi wa vitunguu ndio utamu kolea. Unaweza kuweka carrots na hoho ila usitie nyanya
sima au stima?
Au anamaanisha sima au jina lingine ni bada,vitu vya wadigo hivyo.
King'asti thank u soo sooo much ngoja nijaribu kuipika leo...vp ndimu tunaweka?ni steamer nadhani. Ni chakula very simple. Unachemsha kuku, ama mbuzi ama ng'ombe. Ikikaribia kuiva, kata vitunguu vingi (cubes zinapendeza zaidi) na weka pamoja na pilipili na ndimu. Acha vichemke hadi maji yapungue kabisa upate rojo flani ya kulia ugali.
Katika upishi huu ujanja ni balancing ya maji, uweke mengi na usiongeze njiani. Ikibidi kuongeza tia maji ya moto. Wingi wa vitunguu ndio utamu kolea. Unaweza kuweka carrots na hoho ila usitie nyanya
Ni steamer nadhani. Ni chakula very simple. Unachemsha kuku, ama mbuzi ama ng'ombe. Ikikaribia kuiva, kata vitunguu vingi (cubes zinapendeza zaidi) na weka pamoja na pilipili na ndimu. Acha vichemke hadi maji yapungue kabisa upate rojo flani ya kulia ugali.
Katika upishi huu ujanja ni balancing ya maji, uweke mengi na usiongeze njiani. Ikibidi kuongeza tia maji ya moto. Wingi wa vitunguu ndio utamu kolea. Unaweza kuweka carrots na hoho ila usitie nyanya
Kwa hiyo hii ni kama ile huku Dar wanaiita MAKANGE ?
Sidhani. Makange sio mchemsho. Kwenye makange nyama, kuku ama samaki inachomwa ama kukaangwa kwanza. Hii unachemsha na unamalizia na rojo ya supu kiduchu. Steamed fish mapishi yanakuwa tafauti kidogo
yeah king'asti makange ni tofauti..but hujaniambia kwenye steamer tunaweka ndimu?