MovingForward
JF-Expert Member
- Nov 10, 2009
- 489
- 49
Sikujua kama mtaipokea negatively idea ya kufungua akaunti kwa ajili ya dr. Slaa!hakika sikuwa na lengo baya, kilichonisukuma kuleta wazo hili ni kutokana na watu kudai kuwa dr. Anaweza kuona kama vile alikosea kugombea urais kwani atakosa mshiko wa ubunge! Mimi nikaona kama ni mshiko si lazima aupate bungeni hivyo basi nikatoa wazo la kufungua akaunti wafuasi wake tuwe tunampatia kile ambacho pengine angekipata bungeni na asione kama amepoteza sana.nitafurahi endapo wana jf na wazalendo wenzangu mtanisamehe kwa hili. Nampenda sana dr. Slaa, naipenda chadema, naipenda tanzania natamani siku moja nchi yetu ikombolewe.asanteni
Agreed. Imeandikwa nduguyo akikosa msamehe hata saba mara sabini. Naungana nawe, kwa kuwa umetambua ni wapi ulipoangukia.