Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa Michelle The Boss mbona unamsukumia kwa LadyP wakati wewe ulisha declare yeye ndo kaakiba kako ka uzeeni in case HC anakuyeyusha? Au umebadili mawazo?Anatafuta mume atakayemkubali jinsi alivyo...
Hupendi kusomesha wewe?? In case akitaka kuondokana na unyanyapaa....lol
kwa sasa LadyP ni sekretari wangu.Una swali la nyongeza?yaani tu jina ulilochagua lanipa utata
Why lady pepeta? Unawapepeta sana?
elimu sio tija sana
wewe kwa sasa unafanya shughuli gani?
dar maeneo gani? Mi naishi kwenye li apartment langu masaki.Asante,nakaa dar ,nipo tayari na nitafurahi sana
lady pepeta, unahitaji mme mwenye vigezo gani?
bishanga ana mapenzi ya dhati kabisa.Kujishughulisha?lol mi ndo mmiliki wa kale kahoteli kakubwa pale shekilango,na kengine nakajenga kariakoo ka ghorofa sita,karibu utembelee tumiradi twangu!mwelewa,anayejua majukumu yake kama mume,mwenye mapenzi ya dhati,na awe anajishughulisha,
Mimi ni mnene kiasi mweupe(natural)si mfupi c mrefu
Wasikukatishe tamaa dada....mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26,sikubahatika kuendelea na masomo niliishia kidato cha pili.nahitaji mume kwa sasa lakini kutokana na ufinyu wa elimu niliokuwa nao nimekuwa nikinyanyapaliwa katika mahusiano na kushindwa kutimiza ndoto azngu za kuwa na familia yenye amani na furaha,hicho kitu kina nitesa na kutesa hisia zangu,kwa sasa ni mpweke naomba nisaidieni,natafuta mume mwema ataenikubali kwa hivi nilivyo.
dar maeneo gani? Mi naishi kwenye li apartment langu masaki.
Nahisi husemi ukweli au unachagua sana. Unaishi kijijini au mjini? kanda gani? Maana kwa jinsi ulivyo mbona wanaume wengi sana.
Wasikukatishe tamaa dada....
Wanaume single wapo wengi humu, wengine ni marafiki zangu wa tangu utotoni na wat ku-pm.
Hao wanaouliza vimaswali vya kejeli wanataka kupoteza muda kwa kupiga soga tu!!..... from the look of things they need to get a life.
bishanga ana mapenzi ya dhati kabisa.Kujishughulisha?lol mi ndo mmiliki wa kale kahoteli kakubwa pale shekilango,na kengine nakajenga kariakoo ka ghorofa sita,karibu utembelee tumiradi twangu!
mwenye vigezo kama vya bishanga,middle aged,mahela kibao benki,li vogue la ukweli,mwenye uwezo wa kumpeleka vekesheni acapulco,awe na rolex ya ukweli,wazazi wake wakiumwa chapchap wapelekwe india,mdogo wake akimaliza form six tunamrusha UK akafanye bcomm biziness............yaani bishanga fits the bill!!!

una sifa gani ya kunivutia kwako hata kabla sijakuona? ama unahitaji huruma yangu
Dah! Mnene?? All the best Mdada!