Wana jf naomba ushauri wenu

una sifa gani ya kunivutia kwako hata kabla sijakuona? ama unahitaji huruma yangu
 
Anatafuta mume atakayemkubali jinsi alivyo...

Hupendi kusomesha wewe?? In case akitaka kuondokana na unyanyapaa....lol
sasa Michelle The Boss mbona unamsukumia kwa LadyP wakati wewe ulisha declare yeye ndo kaakiba kako ka uzeeni in case HC anakuyeyusha? Au umebadili mawazo?
 
yaani tu jina ulilochagua lanipa utata
Why lady pepeta? Unawapepeta sana?

elimu sio tija sana
wewe kwa sasa unafanya shughuli gani?
kwa sasa LadyP ni sekretari wangu.Una swali la nyongeza?
 
lady pepeta, unahitaji mme mwenye vigezo gani?

mwenye vigezo kama vya bishanga,middle aged,mahela kibao benki,li vogue la ukweli,mwenye uwezo wa kumpeleka vekesheni acapulco,awe na rolex ya ukweli,wazazi wake wakiumwa chapchap wapelekwe india,mdogo wake akimaliza form six tunamrusha UK akafanye bcomm biziness............yaani bishanga fits the bill!!!
 
mwelewa,anayejua majukumu yake kama mume,mwenye mapenzi ya dhati,na awe anajishughulisha,
bishanga ana mapenzi ya dhati kabisa.Kujishughulisha?lol mi ndo mmiliki wa kale kahoteli kakubwa pale shekilango,na kengine nakajenga kariakoo ka ghorofa sita,karibu utembelee tumiradi twangu!
 
Wasikukatishe tamaa dada....
Wanaume single wapo wengi humu, wengine ni marafiki zangu wa tangu utotoni na wat ku-pm.
Hao wanaouliza vimaswali vya kejeli wanataka kupoteza muda kwa kupiga soga tu!!..... from the look of things they need to get a life.
 
Mi ninafanya masters degree na kuhusu mke elimu sio kigezo kwangu...,umri ni miaka 26.....kama upo serious ni2mie pm....ubarikiwe na malengo yako!
 
asante kaka kwa kunielewa na pia nashukuru kwa kunipa moyo,mungu akubariki sana
 
bishanga ana mapenzi ya dhati kabisa.Kujishughulisha?lol mi ndo mmiliki wa kale kahoteli kakubwa pale shekilango,na kengine nakajenga kariakoo ka ghorofa sita,karibu utembelee tumiradi twangu!

ASANTE BISHANGA,yanipasa kushukuru hata kwa jokes zako lakini tambua niko serious,na kama niko serious jokes zako haziwezi kunikatisha tamaa,ili ufanikiwe na wakosoaji wanahitajika
 
ASANTE KAKA.kama mi nataabika hili basi nawe kama binadamu lazima utakutana na changamoto katika lile utalotaabiikia
 
bishanga ana mapenzi ya dhati kabisa.Kujishughulisha?lol mi ndo mmiliki wa kale kahoteli kakubwa pale shekilango,na kengine nakajenga kariakoo ka ghorofa sita,karibu utembelee tumiradi twangu!

ASANTE BISHANGA,yanipasa kushukuru hata kwa jokes zako lakini tambua niko serious,na kama niko serious jokes zako haziwezi kunikatisha tamaa,ili ufanikiwe na wakosoaji wanahitajika
 
Afu mi cna mdogo wala wazazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…