wana JF naombeni msaada na maoni yenu

wana JF naombeni msaada na maoni yenu

Old Moshi

Senior Member
Joined
Jul 31, 2011
Posts
118
Reaction score
32
ivi fixed account zina riba ya kuridhisha au ni ubabaishaji. Ningependa kuinvest huko kama kuna faida
 
Nunua dhahabu na shaba,halafu zisahau kwa miaka kumi.
 
Nunua dhahabu na shaba,halafu zisahau kwa miaka kumi.
<br />
<br />
sina ujuzi nazo naogopa kupigwa tukio. Vilevile am in college sitakua na muda wa kumanage bussines yangu.
 
Back
Top Bottom