Mimi Dentist,nina ka degree kamoja na pia nina mwaka mmoja kazini nipo Arusha private hospital.Natamani sana kuingia jeshini lakini sijajua mshahara wa captain wa kuanzia ni tsh ngapi?
Na pia ushauri wa pili ninaomba kutoka kwenu ni kwamba nikisoma Master of Public Health,msc.molecular biology,msc.epidemilogy kwa jeshini kuna kitengo maalumu kinachohusiana na course hizo au ni course gani nikisoma kuna kitengo maalumu?.
je kuna tofauti kati ya mshahara wa bachelor degree na master degree kwa kozi nilizozitaja hapo juu?
NAWASILISHA,Thank you in advance!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!