Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aahah naambie babunipo FB (fundi bishoo) natafuta ndugu zangu
Ebu weka namba ya sister hapa yawezekana ikawa ni ndugu yangu piaMimi nipo. Kaka yangu yupo, mwanangu yupo anajiita mexico 1980. Sister yangu yupo..yaani tupo
Hongeren jmnMimi nipo. Kaka yangu yupo, mwanangu yupo anajiita mexico 1980. Sister yangu yupo..yaani tupo
Ndg yanguEbu weka namba ya sister hapa yawezekana ikawa ni ndugu yangu pia
Namba au jina.Ebu weka namba ya sister hapa yawezekana ikawa ni ndugu yangu pia
Et anapenda kuuza sura hahah we jamaa ni msibaDingi nilimfungulia I'd pakamshinda a napenda zake kuuza sura fb Na You tube
Dingi wa dotcomEt anapenda kuuza sura hahah we jamaa ni msiba
AiseeDingi wa dotcom
Ni kweli dada yangu huyu ndiye aliyenifungulia hii IDNilifanikiwa kumfungulia id kaka yangu wa kwanza kabisa tupo mkuu
Mwambie dingi ako aje Bunju nimwajiri kulisha mbwa wangu wa Kijerumani aache kuuza sura mtandaoniDingi nilimfungulia I'd pakamshinda a napenda zake kuuza sura fb Na You tube
Aise mmefanana meno mpaka suraNi kweli dada yangu huyu ndiye aliyenifungulia hii ID
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mwambie dingi ahe Bunju nimwajiri kulisha mbwa wangu wa Kijerumani aache kuuza sura mtandaoni
Pia mimi ndiye niliyempa hifadhi ONTARIO baada ya kuliza watu humu kupitia ForexAise mmefanana meno mpaka sura
Aisee ontario ni binamu yako kumbe .. Ooha wowPia mimi ndiye niliyempa hifadhi ONTARIO baada ya kuliza watu humu kupitia Forex