Wana jf ndugu

Wana jf ndugu

Raha ya JF uwe kivyako vyako tu,mambo ya kujuana juana tupa kule fesibuku,

JF ujuane na mtu/watu ili iweje? kwanza jf ukianza haya mambo ya kujuana na watu unakua hauko huru!
 
Uhu
ru wa kutukana au ?
Kujuana pia kuna faida zake kibiashara,mapenzi/kugegedana na urafiiki bila kusahau kusaidiana

Mimi nishasaidia rundo la msskini hapa Jf
 
Back
Top Bottom