Wana jf ndugu

Wana jf ndugu

....yule mwenye natege km spana ?
Hapana ndugu yangu yule ni wakwako, jamani mbona umemsahau mwanao wa kumzaa mikwara ya andunje?
Usiwe hivyo jamani, au kwa ajili ya utahira wake na anavyojinyea na kujikojolea hovyo, uwiii acha ukatli ndugu yangu!
Uwiii walahi
That’s all
 
hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Nipo insta Nguvu moja ndugu zangu siwaoni...Nina wasi wasi huenda wametekwa na watu wasiojulikana
 
Nadhani wapo kabisa ila hawajuani
Hivi kuna wana Jf ni ndugu wa damu kabisa ... Yaan baba , .mama ..uncle ..aunt ... Binamu ... Cousin ... Mawifi ... Mashemeji ... Kaka na dada ..
Kama mpo karbun tutambue uwepo wenu

Karibuni
 
Back
Top Bottom