Mimi nipo Dar nijaalie jinsia yako plz, (for records purpose)Ndugu zangu wana jf nimebadili mkoa sasa ninapatikana dar wakina mungi na wengineo wengi ninawageni sasa habari za lema nitazipata toka kwenu,
huku nitawapa habari za watu kujirusha gorofani na magorofa kuporomoka,
watu wangu wa dar akiwemo manyerere nipokeeni sasa,
unajua mabwepande ilipo mkuu!!!ndugu zangu wana jf nimebadili mkoa sasa ninapatikana dar wakina mungi na wengineo wengi ninawageni sasa habari za lema nitazipata toka kwenu,
huku nitawapa habari za watu kujirusha gorofani na magorofa kuporomoka,
watu wangu wa dar akiwemo manyerere nipokeeni sasa,
bado sijui kamanda kulikoni kwaniunajua mabwepande ilipo mkuu!!!
mnyinda kamanda wa cdm toka arusha nasasa ninapatikana darMimi nipo Dar nijaalie jinsia yako plz, (for records purpose)
nenda kituo chochote cha polisi au usalama wataifa waambie naomba mnipeleke mabwepande ni sehemu nzuri yenye tourism kwa hapa dsmbado sijui kamanda kulikoni kwani
Mimi nipo Dar nijaalie jinsia yako plz, (for records purpose)
Kama nimemnukuu visuri mbunge wa Arusha mjini juu ya matumizi ya intanet
ninakubaliana naye kwamba sii wote wanaojua kutumia intanet wanajua matumizi yake,
mimi nimejitambulisha kama member wa jf sasa badala turudi kwenye point mnaanza kuropoka siyo vibaya hapo ndio mwisho wa ufahamu wenu,
nenda kituo chochote cha polisi au usalama wataifa waambie naomba mnipeleke mabwepande ni sehemu nzuri yenye tourism kwa hapa dsm
unaona we Bishanga mimi ni zion daughter umeniudhi mimi nivea kwenda zako mzee mhuni sana wewe unatuchanganya kila sikumbavu zangu mie zion daughter,acha kuntegua koo
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahaahahahhahaahahahahahahah haki amungu nimecheka kwa sauti hhahahahahahahahahahahahah na yule jamaa anaitwa Kiranga a.k.a chitchat dictionary ndio anatutafsiriaga kiinjereza mmweeeeeemkuu kwa style hii chitchat utaimudu? Nakushauri kwa sasa ukavinjari jukwaa la siasa ukishuka munkari rudi ubaazi huu,huku chitchat aliyesoma kutuzidi wote anaitwa bi kongosho aka mrs zombie na elimu yake ni darasa la nne la zamani ambalo ni sawasawa na fom foo ya sasa,gotcha?
Mkuu kwa style hii chitchat utaimudu? Nakushauri kwa sasa ukavinjari jukwaa la siasa ukishuka munkari rudi ubaazi huu,huku chitchat aliyesoma kutuzidi wote anaitwa bi Kongosho aka mrs zombie na elimu yake ni darasa la nne la zamani ambalo ni sawasawa na fom foo ya sasa,gotcha?

sivyo bishanga nimejieleza visuri sana nanilitarajia kupata aida pongezi au maelekezo kutokana na jiji hili sasa badala yake imekuwa nisivyo tarajia.
sivyo bishanga nimejieleza visuri sana nanilitarajia kupata aida pongezi au maelekezo kutokana na jiji hili sasa badala yake imekuwa nisivyo tarajia.