Wana JF nimebadilisha mkoa sasa niko Dar,

ndugu unapoteza nguvu zako bure hili jukwaa la kusifiana na kudanganyana.
una uhakika na maneno yako nini kimekuleta fyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
mkuu kwa kiswahili hii ulichiongia nacho jijini dsm bado unanuka vumbi hahahahaha ukiargue kitu zungumza taratiiiiiiiiiiiiiiiiibu
 
Reactions: amu
Karibu mjini mzee mnyinda tulikuwa tunakupatia chai ya tangawizi na hiliki kwambaliii tafunia na vibagia vya kunde kutoka kwa Kongosho aka kiranja mkuu wa cc
 
Last edited by a moderator:
Karibu mjini mzee mnyinda tulikuwa tunakupatia chai ya tangawizi na hiliki kwambaliii tafunia na vibagia vya kunde kutoka kwa Kongosho aka kiranja mkuu wa cc

nimesha karibia ila baba nivea hivi vidudu vya bahari sili,
 
Last edited by a moderator:

Salamu kwa daddy angu tafwazali...
 

Ha ha haaa haaa kaka Bishanga...makavu kavu hivyo hata kuweka lubricant..?
 
Last edited by a moderator:

upo wapi nije nikufate??
halafu Viwango ni nani??
 
Last edited by a moderator:

Ulijificha sana mkuu maana sidhani hata kama Mungi unamfahamu licha ya kujinadi kuwa ulikuwa mdau wa Arusha Wing!!!
 
Last edited by a moderator:

watu8 mpokee mnyinda huyo kisha mpeleke Kimboka akakaribishwe mjini kwa shangwe na mashamsham
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…