Wana JF nimebadilisha mkoa sasa niko Dar,


haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahaahahahhahaahahahahahahah haki amungu nimecheka kwa sauti hhahahahahahahahahahahahah na yule jamaa anaitwa Kiranga a.k.a chitchat dictionary ndio anatutafsiriaga kiinjereza mmweeeeee
mtaanzishiwa uzi na kilaza fulani ambaye haelewi maana ya cc, hata jina lake nimemsahau.....
mdogo wangu Erickb52 naomba unikumbushe yule jamaa anaitwa nani vile?
halafu dadako nilivyoboreka siku ile hata kukumbuka kukuambia "ASANTE" kwa kununua kesi sikufanya...... hope umenisamehe dadako...... "WHAT WOULD I HAVE DONE WITHOUT YOU?"
Usengwile sana mlongo wangu Erickb52.......
mtafute snowhite kwa tafsiri, lol!
 
Last edited by a moderator:

Kama kweli we ni kamanda wa chadema, na kama kweli unakubali kuwa DHAMBI MBAYA KULIKO ZOTE NI UWOGA mbona ulijificha hatukujua kama ulikuwepo? We mwoga aisee kha! Haya bana usiendelee kujificha huko
 
Kama kweli we ni kamanda wa chadema, na kama kweli unakubali kuwa DHAMBI MBAYA KULIKO ZOTE NI UWOGA mbona ulijificha hatukujua kama ulikuwepo? We mwoga aisee kha! Haya bana usiendelee kujificha huko

mbona sijajificha Mungi@tulikuwa pamoja hata kwa habari ya mahakani sema wewe ni kiongozi wangu,
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…