wana JF nini maana ya majani ya mabogoa kwa kiingereza

wana JF nini maana ya majani ya mabogoa kwa kiingereza

hosan

Member
Joined
Feb 10, 2012
Posts
45
Reaction score
18
naomba kuelimishwa kuhusu hayo majani waingereza wanayaitaje
 
naomba kuelimishwa kuhusu hayo majani waingereza wanayaitaje

Waingereza hawana jina maalum kwa sababu hawatumii hayo majani. Lakini kwa tafsiri ya haraka waweza kuyaita"pumpkin greens" au pumpkin leaves"
 
Back
Top Bottom