Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

Mwakani nami natia nia jimbo la kawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…