supercharger GT
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,017
- 1,965
Huyu jamaa namdai kwanza pesa zangu za Ile kampuni yake ya Kitumbo Security.....achana naeMtafute fogo fulani hivi anaitwa Yusuph Kitumbo, atakupa bata zote za hapo
Kama umegundua hilo ni vizuri...Too cheap
OkKama umegundua hilo ni vizuri...
Acha wengine waje basi mkuu
Huyu jamaa namdai kwanza pesa zangu za Ile kampuni yake ya Kitumbo Security.....achana nae
Mkuu karibu sana Tabora jiji la wanyamwezi. Nipo hapa kama bado upo tuonane Leo jioni Belmont hotel tule raha.Nani yupo Tabora tutafutane? Nipo hapa maeneo ya Chuo cha uhazili kwa nje kuna Pub kali sana mpya....kama upo huku sogea hapa...jumamosi hii tutatafuna tu karanga za ndani ya hiyo geti hapo