Wana JF nipo Tabora

Wana JF nipo Tabora

supercharger GT

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2016
Posts
1,017
Reaction score
1,965
Nani yupo Tabora tutafutane? Nipo hapa maeneo ya Chuo cha uhazili kwa nje kuna Pub kali sana mpya....kama upo huku sogea hapa...jumamosi hii tutatafuna tu karanga za ndani ya hiyo geti hapo
 
Nani yupo Tabora tutafutane? Nipo hapa maeneo ya Chuo cha uhazili kwa nje kuna Pub kali sana mpya....kama upo huku sogea hapa...jumamosi hii tutatafuna tu karanga za ndani ya hiyo geti hapo
Mkuu karibu sana Tabora jiji la wanyamwezi. Nipo hapa kama bado upo tuonane Leo jioni Belmont hotel tule raha.
 
Back
Top Bottom