Wana jf nisaidieni elimu ya tanzania imeingia kirusi gani!

Wana jf nisaidieni elimu ya tanzania imeingia kirusi gani!

So kipimo chako cha kujua huyu mtu anajua au anaiweza kazi yake ni flow ya english na sio utendaji wake wa kazi . So kama mimi nikija naflow english na nina vyeti vyangu viko vizuri ila kichwani sina utaalamu wowote wala uzoefu wa kazi mtanikubali

sasa atajuwa anajua nini kama hata hicho anchokifahamu hawezi kukisema? a
 
Bwanae msimkandie Kibajaj..kaongea jambo la maana..as long as the medium of instructions in our universities is English all interviews have the right to be conducted in English. The blame could be sent to the board of university studies for setting the language to be English and not our national language.
Otherwise, even if I was the employer and the interviewees can not hold a conversation in English then they are not good for the job. First of all, how are they going to answer questions that seek to clarify their work experience? As Tanzanians, there is a level of spoken English that can be tolerated due to factors like accent. Cases of verbs misuse, grammatical errors, slang language can never be used as an excuse!
We accepted to use the language...let's then try our best to be the best!
 
Hapo sijakupata......ulikuwa unawapima uelewa wa lugha au uwezo wa kufanya kazi kitaaluma??????.......Du initisha maana kama mtu kujua kitu lazima akiongee kwa kiingereza.......basi ukienda uingereza na ukakutana na mtoto wa miaka saba anaongea kiingereza unaweza ukampa ajira kwa sababu tu anajua kiingereza vizuri.........
Mkulu kiingereza ni lugha tu na si taaluma......kama ni hivyo basi Mourinho asingepata kazi ya ukocha Uingereza.....au wachina wasingeendelea mpaka pale walipo sasa........mkulu try to wash out colonial mentality.....

Masomo yanafundishwa kwa kiingereza kama haelewi lugha iliyotumika ktk instruction yake ya masomo kuna uwalakini pia ktk waledi wake ktk fani. Tungekuwa tunatumia kiswahili kufundishwa darasani hapo sawa.

Mna wataja wachina, wakati wao darasani wanafundishwa kwa lugha ya kichina. Hakuna elimu bora, kama lugha inayotumika darasani haieleweki kwa wanafunzi.
 
Mkuu kwa uelewa wa jamaa kujua kuongeaa kiingereza vizuri ni kipimo tosha cha kupata kazi bila hata kuangalia uelewa au uzoefu wa kazi wa wahusika na sijui kama hiyo kazi ya Project Manager atakuwa anafanya na wazungu pekee ambapo hatawasiliana na watu wa kawaida wa vijijini ambako hata hiyo lugha hataitumia kwa wale watu wa kawaida wa kijijini ambao hata kiswahili ni ndoto.

sasa mbona unajikanyaga?
 
So kipimo chako cha kujua huyu mtu anajua au anaiweza kazi yake ni flow ya english na sio utendaji wake wa kazi . So kama mimi nikija naflow english na nina vyeti vyangu viko vizuri ila kichwani sina utaalamu wowote wala uzoefu wa kazi mtanikubali

Sasa utajua je jamaa kama anaelewa kazi? kama anashindwa kuelezea aliloulizwa.
 
ndugu weledi ambao mtu hawezi kujieleza? Alaf kakudnganya nani wachina hawajui kingereza? ebu nenda star times apo tbc then ufike beidjin uone.

mkuu tembelea hapa arusha AICC ukutane na wanyarwanda,wasenegali,wacameroun e t c walivyojazana.hawajui kingereza!
 
hivyo ata kama kazi niya uelewa maelezo yakitolewa kingereza ataelewa nini sasa?

Mimi nakuunga mkono mkuu,lugha ni muhimu kwa sababu ni kiunganishi na kuelewana,na watu wa aina mbali mbali,uko sawa kabisa mkuu.
 
Hapana Ndugu yangu ni tatizo la kufoka foka kama mtindo wa sasa yaani watoto hawajui lugha zote si Kiswahili wa Kiingereza. Mbaya zaidi waliozaliwa mjini hata lugha zao za kienyeji hawajui. Halafu hawasomi vitabu, wanasoma maswali!!
 
mkuu tembelea hapa arusha AICC ukutane na wanyarwanda,wasenegali,wacameroun e t c walivyojazana.hawajui kingereza!

What about their work efficiency!??
And somehow (by coincidence or sheer luck) all those nationalities you just mentioned are French speakers. So at least they have a common means of communicating. Their mode of instructions in their tertiary education was FRENCH...they will learn English then just to accomodate them at their work environment or otherwise.
Most of those who do not speak English do not work with local offices, they are at the Rwanda genocide blah blah, or interpreters for sam languages...TUSIDANGANYANE!!!!!
KAMA UMEFUNDISHWA KWA KISWAHILI CHUONI THEN UNA HAKI YA KUFANYA KAZI NA KUFANYIWA USAILI KWA KISWAHILI...
MAswali ya mbona wachina mbona warwanda...hayana msingi!
Thirdly, English has become the 'world' language...waangalie hata hao warwanda wako in their country wameamua kubadili mfumo waofrom French to English...SHTUKA!
 
Masomo yanafundishwa kwa kiingereza kama haelewi lugha iliyotumika ktk instruction yake ya masomo kuna uwalakini pia ktk waledi wake ktk fani. Tungekuwa tunatumia kiswahili kufundishwa darasani hapo sawa.

Mna wataja wachina, wakati wao darasani wanafundishwa kwa lugha ya kichina. Hakuna elimu bora, kama lugha inayotumika darasani haieleweki kwa wanafunzi.

nyie ndo wale mnaosema lugha ya kitaalamu ni kingereza.

Nadhani unapokuwa chuoni unasomea weledi,kwa mfano huwezi kufundishwa kilimo bali unafundishwa misingi ya kilimo bora au huwezi kufundishwa uongozi badala yake ni misingi ya uongozi.misingi(principles) ni ile ile ndio maana mtu anaitwa mtaalamu awe ametoka urusi,china au ureno,kutokujua kingereza sio tatizo lakini kutokujua principles za kazi yako ni uzembe.
 
haswaaa manake na darasa lake la nne anaweza kujieleza na pia anaweza kukuandiakia kwa kingereza fasaha fasaha actiona plan na strategic plan zake siyo hawa unaowatetea.

Hiyo dharau Mkuu, hao graduates wa nini kama kuna watu waliomaliza darasa la Nne na wana uwezo? Usitangulize jazba humu, jibu hoja.
 
mkuu kazi imetangazwa sana tu na siyo kama nimekurupuka,ivyo we ulitaka turicruit project manager ambaye hata kujieleza hawezi? acha kulea ujinga. ila sishangai kwa kauli zako manake suala la kingereza lishaletaga ugomvi bungeni.

Ama kweli nyani haoni kundule!!!!
 
What about their work efficiency!??
And somehow (by coincidence or sheer luck) all those nationalities you just mentioned are French speakers. So at least they have a common means of communicating. Their mode of instructions in their tertiary education was FRENCH...they will learn English then just to accomodate them at their work environment or otherwise.
Most of those who do not speak English do not work with local offices, they are at the Rwanda genocide blah blah, or interpreters for sam languages...TUSIDANGANYANE!!!!!
KAMA UMEFUNDISHWA KWA KISWAHILI CHUONI THEN UNA HAKI YA KUFANYA KAZI NA KUFANYIWA USAILI KWA KISWAHILI...
MAswali ya mbona wachina mbona warwanda...hayana msingi!
Thirdly, English has become the 'world' language...waangalie hata hao warwanda wako in their country wameamua kubadili mfumo waofrom French to English...SHTUKA!

kwa nini hujui swahili is becoming the world language.
Angalia Media mbalimbali zinatangaza kiswahili nadhani hata software za computer zimeanza kuwa za kiswahili.wanyarwanda na warundi wanajifunza kiswahili
SHTUKIA!
 
nyie ndo wale mnaosema lugha ya kitaalamu ni kingereza.

Nadhani unapokuwa chuoni unasomea weledi,kwa mfano huwezi kufundishwa kilimo bali unafundishwa misingi ya kilimo bora au huwezi kufundishwa uongozi badala yake ni misingi ya uongozi.misingi(principles) ni ile ile ndio maana mtu anaitwa mtaalamu awe ametoka urusi,china au ureno,kutokujua kingereza sio tatizo lakini kutokujua principles za kazi yako ni uzembe.

Sasa tuchukulie unahokiongelea ni sahihi ok, umeitwa ktk interview na nimekuuliza swali nielezee kitu unachokipenda na unachokifahamu vizuri kabisa ktk waledi wako. Ukashindwa kueleza, sasa mimi nitajua je wewe unazifahamu principles? naomba unielimishe hapo.

Nafahamu hilo swali hata nikikuuliza kwa kiswahili sanifu pia utashindwa kulieza maana utakosa terms za kuunganisha.
 
Je kifaransa ulijaribu kuwaulizia kama wanakipata?
kifaransa wanakipata barabara lakini kingereza ni mambumbu ile mbaya.
Sasa huyu muanzisha thread anaona kingereza ndio ishu,angewauliza hao jamaa wako fluent kwa kiswahili au la.
Cha muhimu angalia uwezo wa mtu kufanya kazi,kwani alikuwa anaajiri walimu wa kingereza?
 
HAYA Bwana ila ndo ukweli hawajui kingereza hata mkatae, na usijidanganye kuwa labda wanajua kifaransa uko ndo ningeongeleshwa kisukuma kabsaaaaaaa!
 
Mwalimu hajui kiingereza, anafundisha shule ya kata, chuo cha kata, kiingereza lazima kiwe tatizo. Babu yangu alikua mjeshi wakati wa ukoloni - KARs lakini anapeleka kiingereza hadi nashangaaga....... Anyway, hata hizo shule za akina St. Mary's wanajua kiingereza lkn kichwani hamna kitu.... Acha Tanzania tuendelee kupika bomu litakalolipuka siku yoyote...... Mfumo wetu wa elimu ni uchafu mzima, too politicized......
 
Back
Top Bottom