So kipimo chako cha kujua huyu mtu anajua au anaiweza kazi yake ni flow ya english na sio utendaji wake wa kazi . So kama mimi nikija naflow english na nina vyeti vyangu viko vizuri ila kichwani sina utaalamu wowote wala uzoefu wa kazi mtanikubali
Hapo sijakupata......ulikuwa unawapima uelewa wa lugha au uwezo wa kufanya kazi kitaaluma??????.......Du initisha maana kama mtu kujua kitu lazima akiongee kwa kiingereza.......basi ukienda uingereza na ukakutana na mtoto wa miaka saba anaongea kiingereza unaweza ukampa ajira kwa sababu tu anajua kiingereza vizuri.........
Mkulu kiingereza ni lugha tu na si taaluma......kama ni hivyo basi Mourinho asingepata kazi ya ukocha Uingereza.....au wachina wasingeendelea mpaka pale walipo sasa........mkulu try to wash out colonial mentality.....
Mkuu kwa uelewa wa jamaa kujua kuongeaa kiingereza vizuri ni kipimo tosha cha kupata kazi bila hata kuangalia uelewa au uzoefu wa kazi wa wahusika na sijui kama hiyo kazi ya Project Manager atakuwa anafanya na wazungu pekee ambapo hatawasiliana na watu wa kawaida wa vijijini ambako hata hiyo lugha hataitumia kwa wale watu wa kawaida wa kijijini ambao hata kiswahili ni ndoto.
So kipimo chako cha kujua huyu mtu anajua au anaiweza kazi yake ni flow ya english na sio utendaji wake wa kazi . So kama mimi nikija naflow english na nina vyeti vyangu viko vizuri ila kichwani sina utaalamu wowote wala uzoefu wa kazi mtanikubali
ndugu weledi ambao mtu hawezi kujieleza? Alaf kakudnganya nani wachina hawajui kingereza? ebu nenda star times apo tbc then ufike beidjin uone.
hivyo ata kama kazi niya uelewa maelezo yakitolewa kingereza ataelewa nini sasa?
mkuu tembelea hapa arusha AICC ukutane na wanyarwanda,wasenegali,wacameroun e t c walivyojazana.hawajui kingereza!
Masomo yanafundishwa kwa kiingereza kama haelewi lugha iliyotumika ktk instruction yake ya masomo kuna uwalakini pia ktk waledi wake ktk fani. Tungekuwa tunatumia kiswahili kufundishwa darasani hapo sawa.
Mna wataja wachina, wakati wao darasani wanafundishwa kwa lugha ya kichina. Hakuna elimu bora, kama lugha inayotumika darasani haieleweki kwa wanafunzi.
haswaaa manake na darasa lake la nne anaweza kujieleza na pia anaweza kukuandiakia kwa kingereza fasaha fasaha actiona plan na strategic plan zake siyo hawa unaowatetea.
mkuu kazi imetangazwa sana tu na siyo kama nimekurupuka,ivyo we ulitaka turicruit project manager ambaye hata kujieleza hawezi? acha kulea ujinga. ila sishangai kwa kauli zako manake suala la kingereza lishaletaga ugomvi bungeni.
What about their work efficiency!??
And somehow (by coincidence or sheer luck) all those nationalities you just mentioned are French speakers. So at least they have a common means of communicating. Their mode of instructions in their tertiary education was FRENCH...they will learn English then just to accomodate them at their work environment or otherwise.
Most of those who do not speak English do not work with local offices, they are at the Rwanda genocide blah blah, or interpreters for sam languages...TUSIDANGANYANE!!!!!
KAMA UMEFUNDISHWA KWA KISWAHILI CHUONI THEN UNA HAKI YA KUFANYA KAZI NA KUFANYIWA USAILI KWA KISWAHILI...
MAswali ya mbona wachina mbona warwanda...hayana msingi!
Thirdly, English has become the 'world' language...waangalie hata hao warwanda wako in their country wameamua kubadili mfumo waofrom French to English...SHTUKA!
mkuu tembelea hapa arusha AICC ukutane na wanyarwanda,wasenegali,wacameroun e t c walivyojazana.hawajui kingereza!
nyie ndo wale mnaosema lugha ya kitaalamu ni kingereza.
Nadhani unapokuwa chuoni unasomea weledi,kwa mfano huwezi kufundishwa kilimo bali unafundishwa misingi ya kilimo bora au huwezi kufundishwa uongozi badala yake ni misingi ya uongozi.misingi(principles) ni ile ile ndio maana mtu anaitwa mtaalamu awe ametoka urusi,china au ureno,kutokujua kingereza sio tatizo lakini kutokujua principles za kazi yako ni uzembe.
aaah!wanongea kimasai siyo!mkuu tembelea hapa arusha AICC ukutane na wanyarwanda,wasenegali,wacameroun e t c walivyojazana.hawajui kingereza!
kifaransa wanakipata barabara lakini kingereza ni mambumbu ile mbaya.Je kifaransa ulijaribu kuwaulizia kama wanakipata?
Ama kweli nyani haoni kundule!!!!
kifaransa wanakipata barabara lakini kingereza ni mambumbu ile mbaya.
Sasa huyu muanzisha thread anaona kingereza ndio ishu,angewauliza hao jamaa wako fluent kwa kiswahili au la.
Cha muhimu angalia uwezo wa mtu kufanya kazi,kwani alikuwa anaajiri walimu wa kingereza?