Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaaa. Mie mwenyewe nilicheka sana lolHuo umri mlionizawadia
Mmh kwakweli sijui anaangalia vigezo gani mana hachezi mbaliHahaaaa. Ila Mahondaw ana nipa mashaka lol.
Huu wake ni zaidi ya ubashiri ujue rafiki. [emoji12] [emoji12]
Yeaaah hujuimh! under18
PoahShem vipi?
Shem wewe 24Shem vipi?
AyaPoah
Dah...hapa nimekula Krismas 75...tena nimekula nikiwa najitambua.....🙂Bro.unajua wewe ni under 18 ila avatar yako dah!
Heheh!! Kweli shem umekusudia kunidhalilisha kiasi hicho?Shem wewe 24
Wifii wewe 32Shem wewe 24
Bado wifii. Nina miaka michache kuifikia. Wewe hapo wifi 33Wifii wewe 32
Hahah!!!Hahaaaaaa. Mie mwenyewe nilicheka sana lol
Miaka 17 duuh. Yaani ungekuwa na umri huo ningeua urafiki aisee. Sababu tusingekuwa na vya kushauriana rafiki. Hahaaaaa.
Wifii usiniambie mm tukinao part 2Bado wifii. Nina miaka michache kuifikia. Wewe hapo wifi 33
Hahahaahaa. Hapana wifiWifii usiniambie mm tukinao part 2
Tufanye 22Unakujakuja!
JJ 26.Tufanye 22
Hahaahaaa......