Wana JF tubashiri umri wetu leo...

Dah...Ndiyo uzee wenyewe huo wa mwili....Ukitaka kujua kama mwanaume ni mzee au la muulize bed mate wake😀😀😀
Bro.unajua wewe ni under 18 ila avatar yako dah!
 
Hahaaaaaa. Mie mwenyewe nilicheka sana lol

Miaka 17 duuh. Yaani ungekuwa na umri huo ningeua urafiki aisee. Sababu tusingekuwa na vya kushauriana rafiki. Hahaaaaa.
Hahah!!!

Kwakweli tusingeweza kuongea Lugha moja rafiki...

Kwanza sasa hivi siningekua shuleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…