Wana JF tubashiri umri wetu leo...

Umeonaeee. Eti anaanzaje kuwa mzee kiasi kilee.

Wazee tupo tumetulia hapa kina Hajar. [emoji85]

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Nakataaa nakataaaaaa

Hajar sio mzeee nakataaaaaaaa
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Nakataaa nakataaaaaa

Hajar sio mzeee nakataaaaaaaa
Hahahaaaa. Lol.

Nimecheka sana hiyo nakataaaaa yako.. Hahahaaaaaaa. Mie age go Mbalizi.
 
Hahah!! Most of jf members tukiwepo mimi na hajar...Kabisa embu mpange bado mapema
Hahaaaa. Tukutane naye tucheke sie tuongeze siku.

Sababu mie mpenda kucheka nitacheka sana hasa pale tutakapokuta muonekano ni tofauti na maandishi yake ya jf. Hahaaaaa.
 
Hahaaaa. Tukutane naye tucheke sie tuongeze siku.

Sababu mie mpenda kucheka nitacheka kwanza hasa pale tutakapokuta muonekano ni tofauti na maandishi yake ya jf. Hahaaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na zile stori zake pendwa atupigishe ana kwa ana
 
Hahaaaa. Tukutane naye tucheke sie tuongeze siku.

Sababu mie mpenda kucheka nitacheka kwanza hasa pale tutakapokuta muonekano ni tofauti na maandishi yake ya jf. Hahaaaaa.
Mtashangaa kwa jinsi nilivyo babu

Hahahaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…