mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Ebanaeeeeeee, nani hao wanatamani kunijua?Alafu unajua kati ya member ambao wanatamaniwa kujulikana walivyo mmoja wapo ni Mbalizi
Duuuuh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebanaeeeeeee, nani hao wanatamani kunijua?Alafu unajua kati ya member ambao wanatamaniwa kujulikana walivyo mmoja wapo ni Mbalizi
Hahahaaa. [emoji85] [emoji85] [emoji85] Naona Mbalizi haumfai.Eeh huo uzee ushauchukua wewe tena?
Hahaaa. Ndio hivyoo.Ebanaeeeeeee, nani hao wanatamani kunijua?
Duuuuh
mbona umeweka rangeTufanye 20-40 tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Umeonaeee. Eti anaanzaje kuwa mzee kiasi kilee.
Wazee tupo tumetulia hapa kina Hajar. [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahaaaa. Lol.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nakataaa nakataaaaaa
Hajar sio mzeee nakataaaaaaaa
Hahah!! Most of jf members tukiwepo mimi na hajar...Ebanaeeeeeee, nani hao wanatamani kunijua?
Duuuuh
Kabisa embu mpange bado mapemaHahaaa. Ndio hivyoo.
Wa kwanza Mie na Davet uje utupange tu ulipo tuje kuzukia siku moja. [emoji12]
Aya wote uacheni uzee wa watuHahahaaa. [emoji85] [emoji85] [emoji85] Naona Mbalizi haumfai.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sio mzee huyo asikudanganye[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nakataaa nakataaaaaa
Hajar sio mzeee nakataaaaaaaa
Hahaaaa. Tukutane naye tucheke sie tuongeze siku.Hahah!! Most of jf members tukiwepo mimi na hajar...Kabisa embu mpange bado mapema
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Aya wote uacheni uzee wa watu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sio mzee huyo asikudanganye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaaa. Tukutane naye tucheke sie tuongeze siku.
Sababu mie mpenda kucheka nitacheka kwanza hasa pale tutakapokuta muonekano ni tofauti na maandishi yake ya jf. Hahaaaaa.
Hahah!! Mimi simo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Wazee wametulia zao rafiki kama yule naniliu eee yule. [emoji12] [emoji12]
Mtashangaa kwa jinsi nilivyo babuHahaaaa. Tukutane naye tucheke sie tuongeze siku.
Sababu mie mpenda kucheka nitacheka kwanza hasa pale tutakapokuta muonekano ni tofauti na maandishi yake ya jf. Hahaaaaa.
Hahaaaa. Umo bwana rafiki.Hahah!! Mimi simo
Hahah!! Humo nakuacha wewe mwenyewe kwakweliHahaaaa. Umo bwana rafiki.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mtashangaa kwa jinsi nilivyo babu
Hahahaaaaaaaa
Hahah!!Hahaaaa. Utafanya nianguke Mbalizi sababu sitakukimbia ila nitakaukia kwa kicheko sijajua Davet yeye ataupokeaje huo uzee wako.