Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilikua nshaanza kughairi kuchangia nyuzi zako ata ule wa usiku kwa masikitikousijali dada,usingizi huu nisamehe
[emoji34]Hahahaha.....
Huko ndio umepotea kabisa haki...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mkuu, unataka tukule tango pori eehhhhin ha nabashiri ana 85![emoji3]
Kwema?Uzi kama huu ushaletwa humu mwaka jana
Mhmh "Mshana Jr" mbona ni kujana tu! Yupo kwenye 32yearsMimi nabashiri umri wa Bro.wangu Mshana na miss Natafuta utakuwa 40+.wewe je?
+ 126 [emoji85] [emoji85]
27NOP [emoji4]
Unapotea zaidi [emoji14]+ 127
Miss Natafuta 32-34
[emoji23][emoji23][emoji23]Shunie 21- Davent 17+
Haaaaaumri wa watu wa3 peke yake,ufisadi huu.
naenda,mana leo naona ulitaka uanze siku na mm..nakutania bhana,yameishaAaah! Inna unajua sisi ndi waasisi kule naomba usiende kunishtaki
Una 40 ww nimebatiriiiDemiss una 40 age mana ulidaii under 28 hawafaii wanaume....
[emoji23][emoji23]