very funny indeedha ha ha ... funny ... sasa hawa jamaa huku hawataki fahamika tukinyosheana mikono si inakuwa balaa aisee?
Hahahaha ukitaka ugomvi na watu wa hapa sema mfahamiane teheheh bonge ya mtihani kweli kweliha ha ha ... funny ... sasa hawa jamaa huku hawataki fahamika tukinyosheana mikono si inakuwa balaa aisee?
Hahahahaha......hicho kiduku ulichonyoa hakina uraia wa bongo....hongera mkuuuNimekuona kumbe ndio wewe mkuu.
Mi ndio konda kwenye hii daladala.
Nipo kwenye hizi za kawaida...hope walioko kwa mwendokasi wamekuona mkuunimekupungia mkono umeniona? nipo kwenye mwendokasi hapa siti ya katikati
Pacha nimekupungia mkono hivi umeniona. [emoji85]Hahahaha ukitaka ugomvi na watu wa hapa sema mfahamiane teheheh bonge ya mtihani kweli kweli
Konda rudisha chenji yangu basiNimekuona kumbe ndio wewe mkuu.
Mi ndio konda kwenye hii daladala.
[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] ww tena nisikuone pacha haipogoPacha nimekupungia mkono hivi umeniona. [emoji85]
Kinaitwa kiduku msumari hichi.Hahahahaha......hicho kiduku ulichonyoa hakina uraia wa bongo....hongera mkuuu
Ahsante sana pacha.[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] ww tena nisikuone pacha haipogo
Msaada Kwenye tuta Mimi Mgeni Maeneo hayo Usinisahau Mimi Dada Nimevaa shungi Niko Mwisho.Nimekuona kumbe ndio wewe mkuu.
Mi ndio konda kwenye hii daladala.
Yani umetupia hivyo nani alikwambia unipe pesa kubwa.Konda rudisha chenji yangu basi
Yan unakaa mwisho wakati kituo kimoja mbele unashuka.Msaada Kwenye tuta Mimi Mgeni Maeneo hayo Usinisahau Mimi Dada Nimevaa shungi Niko Mwisho.
Nimekecha snHuu ni Uzi maalum kwa wana jf ambao watakuwa jirani jirani katika maeneo mbalimbali hapa tz na nje ya nchi.
Iko hivi unasema ulipo then unasema kama kuna mwana jf yeyote apunge mkono na wewe umpungie pia kama ukimuona.
Ni katika kufahamiana na kukuza undugu wetu.
Mimi nipo kwa daladala kuelekea makumbusho, nipo siti ya myuma nimevaa kofia...ukiniona punga mkono...
Utalala korokoroni leo ujue?Yani umetupia hivyo nani alikwambia unipe pesa kubwa.
Potezea maana umependeza chenji yang itakuchafua tu