Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 6,388
- 6,839
Kumbe wewe jamaa ni kadogo hivo halafu mfupi wakati huku unatutolea post za kibabe sana ngoja tukishuka nakupa makonde mimi nimekaa pembeni yako hapanimekupungia mkono umeniona? nipo kwenye mwendokasi hapa siti ya katikati
Haina mbaya mzee baba....siku nyingine tukijaaliwaKinaitwa kiduku msumari hichi.
Ungesema mwanzo ningekupunguzia mia chalii yangu.
Njoo tuambataneMsaada Kwenye tuta Mimi Mgeni Maeneo hayo Usinisahau Mimi Dada Nimevaa shungi Niko Mwisho.
teh teh teh[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nimekuona kumbe ndio wewe mkuu.
Mi ndio konda kwenye hii daladala.
okey ngoja nije nipande hizo za kawaida nitapunga mkono utanionaNipo kwenye hizi za kawaida...hope walioko kwa mwendokasi wamekuona mkuu
imenibidi nicheke tu,watu mmevurugwa hakika,mungu mtu ndio kwanza anamaliza mwaka wa pili tu,bado mingine nane kama tusipokuwa makini..Huu ni Uzi maalum kwa wana jf ambao watakuwa jirani jirani katika maeneo mbalimbali hapa tz na nje ya nchi.
Iko hivi unasema ulipo then unasema kama kuna mwana jf yeyote apunge mkono na wewe umpungie pia kama ukimuona.
Ni katika kufahamiana na kukuza undugu wetu.
Mimi nipo kwa daladala kuelekea makumbusho, nipo siti ya myuma nimevaa kofia...ukiniona punga mkono...
Aahh nimekuona umevaa shati ya CCM bonge la mtu. ndo mimi boss udogo wangu si hojaKumbe wewe jamaa ni kadogo hivo halafu mfupi wakati huku unatutolea post za kibabe sana ngoja tukishuka nakupa makonde mimi nimekaa pembeni yako hapa
[emoji113][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113] nimekuona ujueTehe teheeee punga kwanza mkono
ila mimi natamani nifahamiane na wewe,sijui kwanini?Hahahaha ukitaka ugomvi na watu wa hapa sema mfahamiane teheheh bonge ya mtihani kweli kweli
We jamaa tumeshaigundua mbinu yako ya kimafia, yaani huku wamejaa wao tu na majina yao ya bandia, tumeshakustukia, kuna MTU anataka kujiunga kitengoni, mwambie afanyeje!!!yeye nadhani atakutafuata umfahamu vizuri!!ha ha ha ila huu Uzi unafurahisha, huku JF ni kwa wenye ujuvi wa mambo, na wajuvi wenyewe ni kama ninyi ha ha, au nimekosea mkuuHuu ni Uzi maalum kwa wana jf ambao watakuwa jirani jirani katika maeneo mbalimbali hapa tz na nje ya nchi.
Iko hivi unasema ulipo then unasema kama kuna mwana jf yeyote apunge mkono na wewe umpungie pia kama ukimuona.
Ni katika kufahamiana na kukuza undugu wetu.
Mimi nipo kwa daladala kuelekea makumbusho, nipo siti ya myuma nimevaa kofia...ukiniona punga mkono...