Wana JF tuliojiunga 2007 tukutane hapa kwa salamu

MLAU

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2007
Posts
4,726
Reaction score
3,363
Tuliojiunga 2007 hapa JF tukutane katika Uzi huu kwa Salamu kama bado tuna tunaishi.

Tukumbushane maisha ya JF kipindi kile na Sasa.
 
Mkuu namshukuru Mungu bado nadunda. Kule nondo zilikuwa kali sana, naona kipindi kile mshua alikuwa anatuachia tujidai.
 
Japo sikujiunga mwaka huo,lakini nilikuwa nawatembelea mara kwa mara......kusema kweli jf ilikuwa inabamba kwa habari na chambuzi makini sana!
 
Mkuu namshukuru Mungu bado nadunda. Kule nondo zilikuwa kali sana, naona kipindi kile mshua alikuwa anatuachia tujidai.
Kabisa lakini pamoja na hayo nondo zilikuwa ni sensible na zilikuwa zina maana sana kwa mstakabali wa nchi na utoto ulikuwa mdogo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…