Wana JF tuliojiunga 2007 tukutane hapa kwa salamu

Wana JF tuliojiunga 2007 tukutane hapa kwa salamu

Mimi hapa!
Umekuwa inactive sana might be uko kila siku online JF but you don't drop a single word. Yote persinal schedule kwa jinsi ulivyojipangia.

Hakuna matata tupo pamoja.
 
Mkuu nilipoteza password sasa mods waliniambia tumetuma password kwenye email yako kasheshe ilianza hapo
Unatumia domain gani ya email....ushauri wangu kama bado unakumbuka username wewe log in na hiyo username then Kuna sehemu yameandikwa forgotten password click hapo then utapokea ujumbe kwenye email as notification ya kuweka password mpya then utakuwa ume access ID yako ya zamani.Just try it.Ila email ni ile uliyotumia wakati unafungua ID yako
 
Back
Top Bottom